Iwe Unatumia mashine ya kawaida, au mashine ya kisasa, ili kuweza kufikia maeneo fulani ili kufanya kazi fulani, unahitaji nenosiri maalum!
Tumia ujanja huu kuweza kufanya kufanya ECU programming, KEY programming, kuunganisha vipuri vipya, yaani ku adapt spare parts, pamoja na kazi zingine za kitaalamu kwenye magari ya VAG, VW, AUDI, SKODA, n.k!
Pata maelezo zaidi HAPA kutoka kwa wataalam wenyewe wa Ross-Tech!
Otherwise, tumekuwekea zana hizi za kuweza kupata passwords, chini ya video hii inaoonyesha jinsi ya kuzitumia!
DOWNLOAD 👇
724
1 file(s) 35MB
👆👆
👆👆👆👆👆