NissanENGINE YD25DDTi Control System(wiring, sensors, computers, etc)

Hizi engine za nissan YD25DDTi unazikuta kwenye, akina NAVARA, PATHFINDER, MURANO, URVAN, nk! Sasa, kwenye hiki kitabu kuna blaa blaa zote za wiring, pamoja na maelekezo ya OBD fault codes!

Hii PDF ikichelewa kufunguka bonyeza ecYD25DDTi  au  hapa usome au download moja kwa moja!