BENZ DIAGNOSIS PASSWORDS

Wakati unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ yeyote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, ukitaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ADblue, ECU blaa blaa, kushusha/kuongeza speed, etc, unaitiishwa password namna hii👇👇

Like ukitaka kufanya ECU programming
Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii👇Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya kutumisa hii software uweze kupata hizo password, watch this video then download hapo chini👇

DOWNLOAD HAPA👇

👆👆👆👆👆👆👆