BENZ hack

BENZ hack

Unaweza kuwa unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ zote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, kwa kutaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ECU blaa blaa, kushusha milleage, etc, na unaitiishwa password namna hii🤷🏼‍♂️like ukitaka kufanya ECU programming
Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii👇Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya kutumisa hii software uweze kupata hizo password, watch this video then download kule juu👆

 

Translate /Tafsir /Traduire