ols

ols
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye kumbukumbu ya ECUs.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Software iluundwa nao EVC electronic, na wanakupa sampuli ili kupima bidhaa zao, so unaeza kubonyeza👇upakue bure uone niaje! 
www.EVC.de/download  
Translate /Tafsir /Traduire