Assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa https://youtu.be/TGbrQwNzlDY tuliekezana! Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwenye hiyo EEPROM namna hii video inakuonesha!
Na hii pia maana kuna zingine ukizikosa unazikuta huumu👇
Hizo za funguo bonyeza hapa hapa ujue namna ya matumizi🤷♂️