AUTO PAINT MIXING (aina ya rangi & kiasi)

Kwa kutumia tu msimbo (color code) ya rangi ya gari, au maelezo kama gari aina gani, ya mwaka gani, nk, ujanja huu utasaidia kujua ni rangi zipi za msingi za kuchanganya, na kwa kipimo kipi (mixing ratio), ili uweze kupata hiyo rangi sahihi, na ndani!

Namna hii👇video hii imekuonyesha, mambo mengi unaweza kufanya na hii App ili uboreshe kazi yako iwe ya kitaalamu na bora zaidi!

Shuka chini ya hii👇video uweze ku download hii App kwenye simu au kompyuta!

👇DOWNLOAD👇 HAPA 👇

👆DOWNLOAD HIYO👆