BENZ kuna vi code code wanaotumia vya kumanisha kitu gani kwenye gari🤷🏼♂️! Mfano, kumanisha fuel pump wanweza kuweka code FP17/QU so kama hujui FP17/QU inamanisha kitu gani na kiko wapi🙄, unakwamma tu! So ndo maana tumekuwekea hii softwae ikusaidie niaje👌

STARfinder
1 file(s) 6GB
Ukihitaka kama kwenye simu ama tuseme iwe mobile kwamba popote unakuanga unaipata BONYEZA HAPA