Taarifa hizi zimeibiwa, kwa ajili yako, kutoka kwa masomo yanoaandaliwa na wataalam wa Toyota na Lexus, wakiwa na kiwango cha mafunzo ambayo ni maalum kwa mahitaji ya wewe, tayari ni fundi mtaalam, au na anaehitaji kuwa fundi, pamoja na mtumiaji wa gari wa kawaida ambaye ana hamu ya…
HAPA UJANJA tu!, kumbuka, chochote unachojifunza kinaweza kutumika kwenye magari mengine!
Furahia, jifunze na ufanye mazoezi kwa vitendo, wacha tubadilishe ulimwengu wetu!