ECU programming (winOLS tips)

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye kumbukumbu ya ECUs.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Software iluundwa nao EVC electronic, na wanakupa sampuli ili kupima bidhaa zao, so unaeza kubonyeza👇upakue bure uone niaje! 
www.EVC.de/download  

HAPA UJANJA tu, so tumekuwekea hapa kuikiwemo na namna ya matumizi, kufanya kila aina ya uchawi wa kwenye kila gari!
Hakuna kuumiza kichwa, tunakusaidia ku update, install ata kuwasiliana nao EVC electronic kukiwepo changamoto yeyote!

Ni bonge la mzigo, hakikisha una data za kutosha! 

DOWNLOAD👇 HAPA

👆👆👆👆👆👆👆


ECU circuit Repair


IMMO OFF files