How to decode details/meaning of a VIN (Vehicle Identification Number)

A vehicle identification number (VIN) is a unique code assigned to every motor vehicle when it’s manufactured.  You can decode a VIN to find out more about a car or truck or ….

On most passenger cars, you may find the VIN number on the front of the dashboard on the driver’s side. The best way to see it is to look through the windshield from outside the car. You may also find the VIN number on the driver’s side door pillar. Open the door and look around the area where the door latches to the car. A motorcycle’s VIN is usually on the steering neck below the handlebars, although sometimes it’s on the motor or on the frame near the motor. A semitrailer’s VIN is located on the front part of the semitrailer on the left side.

If you can’t find the VIN number on the vehicle, you should also be able to locate it on it’s documents.

Wondering what all the characters in your vehicle’s VIN stand for?

How to decode a Vehicle Identification (VIN) number
As this video tried show, there many platforms that you just enter the vehicle’s 17-character Vehicle Identification Number (VIN) to get details about a vehicle,  This number contains vital information about the vehicle, such as its manufacturer, year of production, the plant it was produced in, type of engine, model and more…

TEXTto📢VOICE

kwenye hii software unaweka tu maandishi ya lugha yeyote ili usikilizie kuliko kusoma🤷‍♂️


WEBSITEs & APPs mhimu

Hatufuati ratiba, ama hatufati mupangilio wowote, tunaweka tu chochote tunachogundua kuwa muhimu ….and may be free to access🤷‍♂️!

HAPA UJANJA tu👨‍🎓


GOOGLE TRANSLATE ni moja kwa hizo APPLICATION zinazosaidia kutafsiri lugha, infact unaeza ata kupiga tu picha ya hayo maneno unaotaka kutafsiri🤷‍♂️

Kuweka APP kwenye simu BONYEZA HAPA

Tovuti ni translate.google.com

 

 


PDF READER Kuweza kusoma file ama vitabu vya PDF

Kwenye simu BONYEZA HAPA 

Kompyuta💻 kubwa HAPA,

ama tafuta/google PDF reader.🤷‍♂️

 

 


VLC PLAYER ina uchawi kuweza kucheza audio au na video ikiwa katika format yeyote👌! So kama unajaribu kucheza video alafu inakata kufunguka, karibu

Kwenya simu BONYEZA HAPA

Computer💻HAPA kisha bonyeza download


Kufungua ZIPPED FILES
Unaeza kutana zipped file kwenye computer au simu, alafu zinagoma kufunguka, yaani kila unaoibonyeza inakuletea maneno fulani sijui “file can’t open” sijui nini nani, you know hizo file ambao zimeka kama niaje👇

alafu baada ya kuweka hii unzipper ndo zinakaa namna🤔Good, karibu👍!  Haki sijui kama umeelewa hizo zipped files, but insha’Allah, 😀😁😂

Kwenye simu🤳 BONYEZA HAPA 
Computer💻 HAPA kisha bonyeza download, ikikataa rudi uchague either 64bit ama 32bit, infact ukibonyeza yenyewe itajua computer ni ya system ipi🤷‍♂️, wewe download tu👌!

WINRAR ikigoma kufungua,
njoo👉 HAPA 👈uweke winZIP!


Namna ya kufungua ISO files

Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇?Bonyeza HAPA na ufate maelekezo yaliyopo kwenye video kuhusu namna ya ku install hiyi software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼‍♂️
www.5021.tips/ujanja/iso


Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali! 
BONYEZA HAPA


VW/AUDI(resourceful website)

www.ross-tech.com has repair support forums, including diagnostic software, diagnostic procedures with videos!

#ROSStech #VAG #5021tips

Namna kuingia ile aina intanet ya ficho (Deep/Dark Web)

Achana hii intanet ya kawaida kila mtu amezoea, kuna ile aina ya intanet (DEEP) ambao kama siri za serikali, benki, nk zinapitia🚒, pia kuna aina ya intanet (DARK) kwenye wanauza kama bunduki, vitambulisho fake, gari za wizi, nk! Ku browse hii aina ya intanet unahitaji ujanja fulani maana browser za kawaida kama mozila, chrome, nk haziwezi ku…..Na pia hauna aja ya kutembelea aina ya hiyo intanet maaana…..😎….chechote kinawezekana! May be kama unatazama tu🤷‍♂️ lakini usijaribu hata ku….💻
Lakin kama unajiamini then go head, kwenye hii video ndo namna fulani ya kuingia katika hiyo intaneti👇

 

#DARKweb #DEEPweb #5021tips