WORKERS MANAGEMENT UJANJA (kusimamia wafanyakazi)

As demonstrated in the video below, this automated program is some premium time tracking and workforce productivity measurement tool that helps you productively monitor or manage employees.

Quickly add employees!

Classify your employees!

Get an overview of your employees!

Organize and manage your business entities!

Takes complete control of staff time off!

Understand the job roles and responsibilities clearly, making it easy to recruit the right talent.

It has Learning Management System integrated to allow you promote a culture of continuous learning at the workplace.

Easy Employee Performance Monitoring

Measurable  / Improved Decision Making as this program gives you accurate details about employee performance and other company statistics.
This data helps you design effective programs to drive employee engagement and improve overall productivity.
And so much many alot too much, you kindly watch this video, then go below to download! 

SASA, HAPA NDO PAKUWA HII PROGRAM

SHOP MANAGING SOFTWARE

Hii programu ni mfumo au namna, njia ambayo duka/kampuni inasimamia harakati nzuri na uhifadhi wa bidhaa zake, kwanzia bidhaa kuingia mpaka mauzo. Obviously utajua kiasi gani cha bidhaa ulichonacho, na kikifika au kushuka kwa kiwango ulichpanga uongezee, hii program itakumbusha! Ok, kuna blaa blaa nyingi kwenye hii program, nakuomba utazamee hii video👇chini uone kama hii program inaeza kusaidia kwenye shuguli zako👌

👇Sasa hii progrsm ndo hiiii hapa👇

Splitting a big file into smaller parts

Inawezekana unataka kutuma faili kubwa lakini, juu ya chechote kile🤷‍♂️, unashindwa, kwa sababu faili hiyo ina saizi kubwa🤔! Kwa hivyo kutumia uchawi huu unaweza kutuma au ku anything, kushughulika na faili kubwa! Hapa ujanja tu👨‍🎓!

Liwe faili lelote linawezekana, muziki, program, video, vitabu, yaaaani chechote!

Ukitaka hii software unadownload softwae ya 4 kwenye hii list hapa AU unaenda tu hapa
maelekezo ya kila yapo kwenye hii video

TEXTto📢VOICE

kwenye hii software unaweka tu maandishi ya lugha yeyote ili usikilizie kuliko kusoma🤷‍♂️


Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali

Unaeza kuwa unataka kufanya kitu fulani kwenye computer💻 lakini🙄 hujui niaje. Mwenzako amekwelezea namna ya chakufanya, lakini baado unaona ni ngumu😥!

Sasa kuna uchawi mtu anaweza kuingia kwenye computer💻 yako na akafanya kila kitu akiwa mbali🤷🏼‍♂️(mf., Wewe uko Juba yeye yuko Mogadishu, ama wewe uko Bujumbura umekwama na computer yako, yeye yuko Paris anaiingia kufanya kazi kwa computer yako ilio hapo Bujumbura)

Bonyeza hapa uweze ku download (ukiwa kwenye hiyo computer🖥💻 imekupa changamoto),  Download hii software, www.teamviewer.com kiisha piga picha au umutumie hizi details kama kwenye hii picha! Ili muradi kompyuta yako iko connected kwa intaneti, wewe neenda ukanywe🍺 zako utakuta kila kitu tayari🤷🏼‍♂️