EEPROM WORK practice

Tulijaribu kuelekezana kuhusu data ya kwenye IC/EEPROM/CHIP, as in, namna ya kusoma, edit, delete, copy, nk hizo EEPROM data! Kama bado hujapitia, na unataka kupata idea ya niaje hizo blaa blaa, then bonyeza hapa👉 www.5021.tips/ujanja/eepromwork 👈

Sasa unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi🤷‍♂️!  So what we have done, ni kuwekea hapa software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaaa blaaa, you know?


SOFTWARE YA KWANZA na maelekezo ya matumizi kwenye hii video kiisha download hapo chini ya hii video


SOFTWARE INGINE na maelekezo ya matumizi kwenye hii video kiisha download hapo chini ya hii video


samples of EEPROM data


Then ukitaka ku compare data, use this tool


EEPROM work (kusoma, kubadili, kuandika data)

Kuna kazi nyingi unaweza kufanya kwa kujua kuchezea data inakuanga humu kwenye chip au EEPROM (Electronically Erasable Programmable Read Only Memory)!
Yaaani hapa tunakumbushana kuhusu uchawi wa, kusoma, kuhifadhi, kubadili, kuandika, nk, ya kwamba ata ukitajiwa tu adress unajua niaje!
Kwenye hii picha ya chini👇unaona blaa blaa ya namna data inakuanga ndani ya hizo EEPROM🤔?Sasa hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, vyote tumeoneshana kila, kwenye hii video👇!
Video hii ni ndefu na kuna maneno mengi🙄  na ukitaka kufanya practical ujifunze kwa vitendo tumeweka hapa bonyeza HAPA unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi🤷‍♂️!
What we have done, ni kuwekea software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaa blaaa, you know?

Madhara ya in-Circuit EEPROM programming

kwanini 0123456789ABCDEF

DATA ADDRESS reminder

CHECKSUM   ERRORS


uchawi wa kutibu DPF/ADBLUE/IMMO/EGR

Assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa https://youtu.be/TGbrQwNzlDY tuliekezana! Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwenye hiyo EEPROM namna hii video inakuonesha!

Na hii pia maana kuna zingine ukizikosa unazikuta huumu👇

Hizo za funguo bonyeza hapa hapa ujue namna ya matumizi🤷‍♂️

 

Translate /Tafsir /Traduire