Hii program ni moja kwa hizo zinazoweza kusaidia kufuuta mifumo, as in to disable DPF, EGR, Adblue, lambda, immobilizer, Fault codes fulani (DTC)zitoke kwenye kompyuta za magari aina ya Toyota na Lexus tu, zikiwa na ECU za Denso!
Engine zote, Petrol, Diesel, Hybrid, Water, etc๐๐คฃ๐ย
Kama kawaida, jinsi video inaonesha unaipatia tu file, then inafanya kazi๐คทโโ๏ธ!ย
HAPA UJANJA tu!
๐
DOWNLOAD
๐
Tox
๐๐